Chegeni hana njaa kuukubali Ukuu wa Mkoa!

Logic fupi sana hiyo.... kuwa mkuu wa mkoa ni zaidi ya kuendesha project yoyote bongo hii.

Kuna mianya nyingi za upigaji na rushwa iliyokithiri,

Sina hakika kama hiyo ndiyo, iwe hoja ya msingi kufanya atenguliwe
Kwa hiyo una entertain rushwa au??
 
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.

Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.

Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.

Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.

Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.

Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.

Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.

Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.

Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.

Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
Nina wasiwas atakuw ameomba apumzike tu Bab wa watu hatak kupelekeshwa na kinana kinana tena
 
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.

Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.

Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.

Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.

Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.

Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.

Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.

Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.

Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.

Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
Msando Ni mpumbafu sna ameacha bidhara zake za uwakili anazo ingiza mamiolion ya pesa amekwenda kuwa dc jmn jmn huyu mtu sijamuelewa mm ache kudrive amgar yake ya range Rover na mav8 alafu unaenda kukah ktk vikao vya ovyo
 
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.

Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.

Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.

Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.

Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.

Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.

Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.

Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.

Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.

Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
Eh kumbe mfanyabiashara

Ana miradi mingi....

Sasa uongozi anautakia nini

So atulie afanye mabiznes yake

Ova
 
Bush family ni matajiri wakubwa sana yet walikuwa kwenye siasa.

Trump ana lots of investment, yet alikuwa CinC wa US.

Suala la hana njaa bila shaka sio hoja yenye mashiko na inapwaya sana.
Kwa kwetu huku mtu anangangania uingozi ili alinde miradi yake

Ova
 
Ndio umetumwa kumsemea? We kwl hamnazo, nchi hii hakuna mtu anaweza kukataa heshima kubwa km ukuu wa Mkoa. Hizo ni sizitaki mbichi hizi. Hata hivyo we hauna unalojua unabwabwaja tu unamharibia tu mzee wa watu. Hana jeuri ya kukataa ukuu wa Mkoa.
Rostam anaweza kubali ukuu wa mkoa?
 
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.

Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.

Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.

Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.

Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.

Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.

Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.

Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.

Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.

Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
Haya mambo tunayatolea macho sisi tu huko juu imeshaamriwa nani kipa bora
 
Je, huwa wanateuliwa kama surprise? Hakujulishwa kabla kiasi kwamba atoe hivyo vikwazo vyake? Au huwa taasisi ya uteuzi inaona ukiteuliwa ni lazima ukubali hiyo nafasi hata kama hutaki, au huna njaa kama utetezi wako ulivyo?
Kwanza uelewe kwamba mimi voicer sio huyo Chegeni.

Pia uelewe kwamba unaweza kupewa taarifa ya uteuzi,lakini ukawa hujapewa masharti yanayoendana na uteuzi wako.

Pale unapokuja kuyasoma na kuyaelewa masharti ya utendaji wako mpya.
Hapo ndio sakata linapoanzia.
 
Kwani wanaokubali uteuzi wana njaa?
Njaa zinatofautiana.
Huyu ninaemuongelea ni mfanyabiashara anayemiliki mahoteli ya kitalii mkoani mwanza.

Tena moja ya hoteli yake huwa ndio kituo cha Simba Sports Club pindi wawapo mjini mwanza.
 
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.

Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.

Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.

Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.

Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.

Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.

Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.

Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.

Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.

Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
Huu Ni utetezi dhaifu kuliko udhaifu wenyewe. Aliyekutuma kamwambie ajipange upya.
Huwa uteuzi hautangazwi kabla hujapigiwa simu kuulizwa Kama unakubali kuteuliwa
 
Wan
Logic fupi sana hiyo.... kuwa mkuu wa mkoa ni zaidi ya kuendesha project yoyote bongo hii.

Kuna mianya nyingi za upigaji na rushwa iliyokithiri,

Sina hakika kama hiyo ndiyo, iwe hoja ya msingi kufanya atenguliwe
Wangeandika kabla ya kutenguliwa sawa.yaani ingekuwa mapema baada tu ya taarifa sema hii Sasa Ni sizitaki mbichi. That's nature human being Mana usikute ameshaanza kufanya party tayari bia mziki mbuzi zingenunuliwa so amekuja ku remove mental pains. The mental pain sio ya kitoto mjue jamani.

Hebu chukua hii usitudanganye Kama sie watt bwana mkubwa sijui mdogo.

Soma hapa chini labda umdanganye asiyekua mechanisms ya ubongo how to get rid of pain.

Our minds are hard reinforced wired to avoid both physical and emotional pains. Everybody understands the nature of avoiding of physical pains. Accidentally set your hand on a hot burner, and your hand moves away from heat automatically; it's an instinctive reaction. Our minds have a number of ways to shield us from information that we have learned to perceive as painful. For example, at a concious level, we can rationalize, justify, or make a case for staying in losing,wrong or unsuitable reality. Some of the more typical ways we do this are to call our close buddies, talk to our gods, or look at indicators we never see, all for the express purpose of gathering nonpainful information in order to deny the validity of the of the painful information.
At a subconscious level, our minds will automatically alter, distort, or specifically exclude information from our concious awareness. In other words, we don't know at a concious level that our pain-avoidance mechanisms are either excluding or altering the information being offered by the real life/relationship/business/market/poverty.
You'll pick and choose information that's consistent with what I expect, so that I can maintain a pain - free state of mind.
 
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.

Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.

Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.

Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.

Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.

Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.

Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.

Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.

Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.

Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
Mmmmh, usituletee habari za kufikirika. Chegeni hana ubavu wa kukataa nafasi ya RC
 
Unahangaika kunijibu mimi anbae sina hata nasaba na Chegeni?

Wewe unahangaika na mtu ambae sio hata size yako na wala hana njaa kama wewe?

Ukifika mwanza tembelea Usamilo Lodge ili uelewe.

Na ukifika Busega tembelea Sandmark Hotel ndio utaelewa.

Kisha utafute mabasi pia.....
 
Kuna vitu nashindwa kuvielewa hapa, hivi kabla m
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.

Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.

Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.

Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.

Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.

Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.

Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.

Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.

Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.

Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
uhusik

Kuna vitu nashindwa kuvielewa hapa, hivi kabla mhusika ajateuliwa si uwa inafanyika vetting kwanza ndo jina linapelekwa kwa anayeteua? Na ikishafanyika vetting si mhusika uwa anaulizwa kwanza kama anakubali kuteuliwa ama lah ili kuepusha changamoto kama hizi? Na je Kama alikubali inakuwaje tena uteuzi usitishwe wakati vetting ilishafanyika na akaonekana anatosha? Hii kitu mimi sijaielewa ata kidogo kwa maana ya kwamba uwezi kumteua tu mtu bila kumuuliza Kama anakubali ama lah, matokeo yake muhusika anakataa uteuzi na ulishamtangaza, Kwa uelewa wangu naona kuna shida mahala
 
Kwa hiyo umekuja kujitetea hapa?inafahamika kaenguliwa ndio maana ikaandikwa Rais Atengua uteuzi sasa kuja kumnadi kuwa hana shida ts nonsense kama Ana hela huna haja ya kutwambia hapa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.

Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.

Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.

Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.

Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.

Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.

Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.

Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.

Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.

Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
Sukuma gang mnazidi kuadabishwa
 
Logic fupi sana hiyo.... kuwa mkuu wa mkoa ni zaidi ya kuendesha project yoyote bongo hii.

Kuna mianya nyingi za upigaji na rushwa iliyokithiri,

Sina hakika kama hiyo ndiyo, iwe hoja ya msingi kufanya atenguliwe
Huyo jamaa mleta uzi ni sukuma gang mwenzake wachana naye
 
Je, huwa wanateuliwa kama surprise? Hakujulishwa kabla kiasi kwamba atoe hivyo vikwazo vyake? Au huwa taasisi ya uteuzi inaona ukiteuliwa ni lazima ukubali hiyo nafasi hata kama hutaki, au huna njaa kama utetezi wako ulivyo?

Bongo unakutana tu na Tangazo.

Kuna jamaa alikutana na Tangazo la uteuzi afu uapaji ni just next day.

Alisafiri usiku kucha kuwahi kula kiapo.

Maana ake wanakuteua tu.
 
Back
Top Bottom