WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Soma vizuri Ile taarifa ya Ikulu, utaona neno "Ametengua"Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe...
Usilete ujuaji...
Soma vizuri Ile taarifa ya Ikulu, utaona neno "Ametengua"Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe...
Acha uongo MOIL COMPANY ni tajiri wa mwanza ana miradi kuliko chegeni wako lakini yupo bungeni, Mo dewji tajiri nae alilitumikia bungeAnayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.
Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa...
Umepuyanga!Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe...
Halafu hao jamaa ni ndugu lakini udugu wao ulikufa kwa kila mtu kung'ang'ania awe mbunge. Chengine, kwa Mwanza na Kanda ya Ziwa yote Dk. Chegeni anamiliki Isamilo Hotel. Huu sio mradi wa kumfanya asiwe RC eti anasimamia miradi yake.Aligombea ubunge mpaka wakachapana makonde na Dr. KAMANI 2015 alikuwa hana hiyo miradi? Na kwa taarifa yako ukuu wa mikoa una fursa zaidi ya ubunge. Acha kupotosha, POOR VETTING. CORRUPTED VETTING. CARTEL VETTING
Uko sahihi.Logic fupi sana hiyo.... kuwa mkuu wa mkoa ni zaidi ya kuendesha project yoyote bongo hii.
Kuna mianya nyingi za upigaji na rushwa iliyo kithiri,
Sina hakika kama hiyo ndiyo, iwe hoja ya msingi kufanya atenguliwe
Kweli kabisa. Kwa Mara ana fungu lake mgodiniLogic fupi sana hiyo.... kuwa mkuu wa mkoa ni zaidi ya kuendesha project yoyote bongo hii.
Kuna mianya nyingi za upigaji na rushwa iliyo kithiri,
Sina hakika kama hiyo ndiyo, iwe hoja ya msingi kufanya atenguliwe
Nchi hii Si ya mamaenu, kwamba wananchi ndo mtaji wenu kujitajirisha Kwa RUSHWA!!!Siku yaja mtalipa.Tukinusa tuu kuwa huyu ni Sukuma gang tunamsagia kunguni..
Mengine ni kujifariji,ukiwa Kiongozi hapa Tanzania kwa mwaka tuu una dabo huo utajiri wako.
UsitufokeeUtatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.
Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.
Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
Hakuna uteuzi unaofanywa na raisi na kutangazwa bila mhusika kujulishwa narudia tena hakunaHakunaga kujulishwa labda zivuje tetesi kua upo kwenye mkeka tofauti na hapo utashangaa watu wanakupigia simu kukupa pongezi hata huelewi
Acha kuzuga huyo kapigwa down
Ana miradi mingi ndio...hapa ilikuwaje ajivue nguo kiasi hiki?Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.
Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.
Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.
Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.
Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.
Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.
Ndio umetumwa kumsemea? We kwl hamnazo, nchi hii hakuna mtu anaweza kukataa heshima kubwa km ukuu wa Mkoa. Hizo ni sizitaki mbichi hizi. Hata hivyo we hauna unalojua unabwabwaja tu unamharibia tu mzee wa watu. Hana jeuri ya kukataa ukuu wa Mkoa.Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.
Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.
Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.
Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.
Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.
Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.
Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.
Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.
Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.
Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.
SawaHakuna uteuzi unaofanywa na raisi na kutangazwa bila mhusika kujulishwa narudia tena hakuna
Watajijua wenyewe huko, Selikari inamda mfupi Madarakani, ila inachukiwa for 75 % ya wenyenchi, 25% ni hao ccm wachache wanufaika moja KWa moja, dawati la utafiti mwambieni ukweli, WENDA akaja kuwashukuru badae, ni matumaini yangu ukweli mnao na mnaujua ,Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.