disturbanced
Member
- Oct 27, 2024
- 37
- 38
wakuu habari za muda huu...niende moja kwa moja mimi ni mjasiriamali nipo arusha.Naomba mwenye connection ya chef wa hoteli au officers wanaohusika na ununuzi wa chakula na mbogamboga mahotelini hasa arusha...binafsi nafanya biashara ya kuuza mbogamboga soko kuu arusha lakini pia najishughulisha na biashara ya nafaka.KWA YEYOTE MWENYE CHA KUNISAIDIA TAFADHALI usisite kutoa mchango wako.
shukran
shukran