Chef (mpishi) wa vyakula mbalimbali anatafuta kazi

Habari Wana jamvi,
Mm ni mpishi(me) 32.
Naishi Dar
Nipo kwenye tasnia ya mapishi takriban 10 years,

Kwa Sasa nipo bench Sina kazi.
Naomba kwa yeyete mwenye kuweza kuniconnect na kazi anisaidie

Asanteni.
Mapishi gani zaidi mkuu uko vizuri?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom