Checking in progress katika cas-tcu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakuu,hawa tcu vipi?walitushauri tuklie application na tufanye re-application lakini nashangaa wiki inakatika sasa na wenyewe bado tu wameniandikia kwenye kozi husika checking in progress.kama kuna anae elewa huu utaratibu wa hayo masuala naomba anijuze,maana nashndwa kuelewa kama nimequalify or not.
 
Hawa tcu mwaka huu mbona wanalalamikiwa sana.ebu watoe tamko basi.
 
wakuu,hawa tcu vipi?walitushauri tuklie application na tufanye re-application lakini nashangaa wiki inakatika sasa na wenyewe bado tu wameniandikia kwenye kozi husika checking in progress.kama kuna anae elewa huu utaratibu wa hayo masuala naomba anijuze,maana nashndwa kuelewa kama nimequalify or not.

hebu jaribu ku clear application then applay upya pale kwenye selected programs, kama tatizo bado fika ofisini kwao kwa maelezo zaidi
 
mkuu,mwanzo nliclear na nikaaply upya,ila nashangaa bado inaniambia checking in progress hadi kwenye zile ambazo mwanzo zlikua eligible!
 
Uli reapply Lini??? kama ilikua karibu na weekend Subiri Kesho itakua poa mimi pia checking in pregress.... ilikaa tangu Ijumaa ikatoka J3. Nakuhusu TAARIFA za kuclear application ULIZITOA wapi??
 
mkuu,mimi ni tangu alhamisi.
 
mkuu,mimi ni tangu alhamisi.

TCU walikua katika marekebisho ya system za CAS nazani kesho mambo yatakua fresh, Just login mida ya mchana itakua imekaa poa.
Me ilianza Ijumaa Asubuhi then J3 saa 2 nikachek iko poa. Just vuta subira mpaka kesho jioni kama bado kunatatizo fika ofisini kwao kwa taarifa zaidi
 
wanaboa sana mkuu.
 
mkuu,mbona tatizo bado liko vile vile tu.
 
Back
Top Bottom