Check hapa MWANYA ADIMU! Ni shidaaaaa!

Check hapa MWANYA ADIMU! Ni shidaaaaa!

Last edited by a moderator:
Umenikumbusha, nimeshaiwahi mwenyewe hii ni bonge la avatar aisee! Si umeona!
Huo ni uchoyo kyalankota. Uzilete wewe mwenyewe halafu harakaharaka unatumia moja kama avatar yako?Uchoyo huo nasema.Matarajio yangu yalikuwa wanajamiiphotos(sio wewe) wajipatie avatar mpya.
 
Last edited by a moderator:
Huo ni uchoyo kyalankota. Uzilete wewe mwenyewe halafu harakaharaka unatumia moja kama avatar yako?Uchoyo huo nasema.Matarajio yangu yalikuwa wanajamiiphotos(sio wewe) wajipatie avatar mpya.

Ha ha ha! Yaani mkuu umefanya kitu cha maana japo ulilenga wadau wengine lakini nikaona itanifaa mwenyewe nimeipenda sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom