kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Hahahahahaahahah jamani jf kuna mambo loh!
Hahahaha!!Hehehehe subiri waje walengwa nahisi hapa hapatoshi
Huyo wa kwanza kafanana na miss chagga...na huyu wapili kafanana Shy land...
Usimzeeshe miss chagga hayupo hivyo yeye ni huyu hapa
![]()
![]()
Yeye ni huyu wako na binti yake
Huyo wa kwanza kafanana na miss chagga...na huyu wapili kafanana Shy land...
Usimzeeshe miss chagga hayupo hivyo yeye ni huyu hapa
![]()
![]()
Yeye ni huyu wako na binti yake
so mwaaaa waeleze bana
Nasema hivi...utanipa tu ikibidi hata kwa nguvu ya dola........mtani kinifuata kukupa picha yangu ndiyo unanitangaza ? sasa ukiomba ile tamu sikupi
Nasema hivi...utanipa tu ikibidi hata kwa nguvu ya dola........
By anymeans necessary..........heee maandamano inabidi