Cheche za Mh. Polepole

Kumbe walikopwa maskini

Tetetetetete kumbe wanalipwa nilidhani ni mapenzi ya chama kumbe wanakusanywa kutoa povu kisha kulipwa mpyuu.

swissme
Ha ha ha....watu walidhani ndo wakati wa mavuno...
Sasa bado wale bodaboda.
Akili zitarudi tu ushabiki maandazi utaisha...
Watabaki wazalendo wenye mapenzi halisi na kuzimini sera za vyama vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…