Cheche za mate wakati wa kuongea

Sii pendi kuna watu huwezi kuongea nao karibu karibu mpaka uwe na mwamvuli
 
Wala sio tatizo ni kukosa tu ustaarabu namna ya kuongea , kuongea kwa kupayuka payuka mdomo unaufungua 360° lazma mate yakuruke
 
Hembu tamka neno Lithification au lithify wakati una mwanya wa juu kama hutatoa mate.

Duc in Altum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom