No one is justifying anything!!!!:focus: Swala ni je inahesabika kama kucheat au la!!
Lizzy mama, mi kuna kitu nimejifunza kwa hawa wanaume yani huwa wana cheat vibaya sana!!! Ni wachache sana ambao hawatoki nje ya ndoa, wale waliokamatwa/shikwa na Neema ya Mungu kweli kweli, lkn kwa kawaida tu, huwa wanatoka sana.
Sasa basi kama anatoka mkiwa mna amani, furaha na kicheko, si zaidi pale unapokuwa mmenuniana mwezi/ wiki??? Hayo ya alikuwa hajui..... Ni kizingizio tu.hakipunguzi hasira ila kinweza kuongeza hasira!!!
MCD... naomba kuulizaLizzy mama, mi kuna kitu nimejifunza kwa hawa wanaume yani huwa wana cheat vibaya sana!!! Ni wachache sana ambao hawatoki nje ya ndoa, wale waliokamatwa/shikwa na Neema ya Mungu kweli kweli, lkn kwa kawaida tu, huwa wanatoka sana.
Sasa basi kama anatoka mkiwa mna amani, furaha na kicheko, si zaidi pale unapokuwa mmenuniana mwezi/ wiki??? Hayo ya alikuwa hajui..... Ni kizingizio tu.hakipunguzi hasira ila kinweza kuongeza hasira!!!
No one is justifying anything!!!!:focus: Swala ni je inahesabika kama kucheat au la!!
MCD... naomba kuuliza
Hivi hawa wanaume huwa wanacheat na sungura au wanawake?
Just believe me, hiyo hukumu unayotoa itabaki na wewe hadi utashangaa
Back to Lizzy... Hakuna justification ya cheating hata iweje, whether hasira au excitement... cha maana ni kuwa tayari kuishi na consequences za mistakes tunazofanya kwenye mapenzi
Nijuavyo mimi, mwanaume anaweza akawa alishakuacha siku nyingi lakini bado akaendelea kuishi na wewe for other reasons (sacrifice), which is the worst case a woman need to experience... na hao ndio wale unaowaona wanacheat consistently, ila anaishi na wewe sababu ya wattoto tu!
Wanasema sisi ndio sisi, all problems in our relationships zinaletwa na couples @ 50% each
Kuhesabika maana yake ni kwamba...kuna standards, na hizo standards kama kuna issue ya kuhesabika, maana yake unataka kusema kuna kutokuhesabika coz haijaingia kwenydm standards?
Hiyo itaonyesha kwamba watu hamkai silence... yani ugomvi wa wiki au mwezi tayari ushabadili plate numbers?I agree with but what if it happened during the time when one of you believed that the two of you weren't together anymore?
Exceptions kwenye mahusiano ..... cheating?There are no standards but there are EXCEPTIONS!!!
Amen, u can say that again ma brother.Hiyo itaonyesha kwamba watu hamkai silence... yani ugomvi wa wiki au mwezi tayari ushabadili plate numbers?
Hiyo lazma itakua kicheche genetically
Si umesema kwamba mmegombana mpaka mmoja akaona hakuna kurudiana??? hapo hana cheating ni mtu tu aliamua kuendelea na maisha baada ya kuzinguliwa. mi ndio maana sipendi kununa, unanuna mwenzako anaendelea na maisha kama kawaida