Cheaters: The Series

Kongole kwako KigaKoyo, Umekitendea haki kichwa cha habari cha simulizi hii.

Hii ni bonge la 'blue movie' kama 'producers' wakiamua kuifanyia kazi, NA inaendelezeka kuanzia ilipoishia.

Big up.
___
JB59
Thanks mkuu. Nikipata muda nitajaribu kuitafutia muendelezo. Its possible.

By the way, pamepoa sana huku mzee wangu. Kama una kisa chochote please share nasi...
 
Thanks mkuu. Nikipata muda nitajaribu kuitafutia muendelezo. Its possible.

By the way, pamepoa sana huku mzee wangu. Kama una kisa chochote please share nasi...
Kuna mambo yamenishika huku nchi jirani lakini siku si nyingi nitarudi Tz,

Nitakuwa mapumzikoni hivyo naweza kupata wasaa wa kuleta chochote kwa faida ya kizazi cha sasa.
 
Heloo there. huezi fanya namna tukapata kastori kengine, hata kafupi jamani....
Well, thanks for kunikumbuka. Shida nlikatishwa tamaa na hawa mods wa JF. Story unaandika then waiondoa. Ukiangalia mfano hii story ya cheaters, sehemu ya nne imeondolewa na hata sijajulishwa sababu.

Sasa nashindwa elewa mipaka ya uandishi ni ipi. Maana aina ya story nnazoandika unazifahamu, sometimes zinachemsha damu. So naeza jipinda kuandika ikaishia kapuni.

Ingekua sio hivyo ningekua nshadondosha nyingine.
 
Story tamu bruh upo vizur best
 
Mhaho ndo huu sasa
 
Nawashukuru sana wote mliofuatilia story hii. Panapo majaliwa tutakutana wakati mwingine tena, inshAllah.
Was so nice, imenichukua siku mbili kuimaliza hii series, thanks a lot nahongera sana kwa kipaji ulichonacho, mungu azidi kukubariki kupitia kipaji chako.
Nahitaji muendelezo wa ile story ya mapacha story iko pande mbili dar na arusha KigaKoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…