zantel ni powa tu. 20,000 one month unlimited
zantel ni powa tu. 20,000 one month unlimited
Nakuunga mkono. Vodacom is the fastest with 3.5 G. ukilipa 20,000 kwa mwezi, unapata 5 GB, unatumia mpaka!. Pia wana package inaitwa "Wajanja night offer" unalipia 200 tuu na kupata unlimited kati ya saa4:00-1:00 asubuhi!.Ni vodacom. Kwa sh 20,000/= unapata GB 5 ambazo zinadumu kwa siku 30. Ukiwa mwanagalifu zinaweza kuisha siku 30 na bado una 1GB au 2GB zimesalia (siku 1 au 2 kabla ya siku 30 kutimia, lasivyo zikiiisha siku 30 na haujatumia lililosalia wanakuachia 0) ambazo unaweza kuzitumia kudownload movies au programs unazozipenda. Kumbuka ku-turn off automatic updates katika machine yako isipokuwa kwa antivirus.
yah Voda kweli wako kwenye league nyingine!! Just downloaded 7Gigs usiku wa jana for only 200tsh hio offer yao ya wajanja night!!
yah Voda kweli wako kwenye league nyingine!! Just downloaded 7Gigs usiku wa jana for only 200tsh hio offer yao ya wajanja night!!
Ni vodacom. Kwa sh 20,000/= unapata GB 5 ambazo zinadumu kwa siku 30. Ukiwa mwanagalifu zinaweza kuisha siku 30 na bado una 1GB au 2GB zimesalia (siku 1 au 2 kabla ya siku 30 kutimia, lasivyo zikiiisha siku 30 na haujatumia lililosalia wanakuachia 0) ambazo unaweza kuzitumia kudownload movies au programs unazozipenda. Kumbuka ku-turn off automatic updates katika machine yako isipokuwa kwa antivirus.
wajanja nyt inalipa haina mfano. tangu nianze kuitumia nimejaza HDD ya 1TB. thanx 2 e2themiza nilipata ujanja wa kuunganisha modem tatu + speeds zinazo range 300-600kb for each modem. siku hizi hata sina hamu nayo as nimeshindwa ni kucheki kila movie/ series nilizopakua
mkuu nielekeze jinsi ya kujiunga na hii huduma leo nifaidi barca vs madrid Live Sport Streams, Football, Soccer, Ice Hockey, Tennis, Basketball / LiveTVyah Voda kweli wako kwenye league nyingine!! Just downloaded 7Gigs usiku wa jana for only 200tsh hio offer yao ya wajanja night!!
mkuu nielekeze jinsi ya kujiunga na hii huduma leo nifaidi barca vs madrid Live Sport Streams, Football, Soccer, Ice Hockey, Tennis, Basketball / LiveTV
mimi mbona home haina nguvu hiii wakati nikiweka ama ya 10000 kwa wiki au 20000 kwa wiki ina nguvuu ia nikisema niweke ya 200 wajanaja night offer inakuwa holayah Voda kweli wako kwenye league nyingine!! Just downloaded 7Gigs usiku wa jana for only 200tsh hio offer yao ya wajanja night!!
baba hii zantel unlimited ni siku 6 tu aka 10,000 kwa kila siku 3
zantel ni powa tu. 20,000 one month unlimited