Cheap android phones unazoweza kununua

Mwenye SAMSUNG GALAXY ACE duos GSM (GT- S6802)... With 832 mHz na 512 RAM

Give me da price
 
kaka izo bei ni za kweli nkutafute
 
mkuu Hizo sim zako mbona ujaandika version ya OS zake ...
 
Ah ts very cheap

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mkuu Hizo sim zako mbona ujaandika version ya OS zake ...

Kama umesoma vizuri juu kwenye muhimu nimeandika zote ni gingerbread na kama ni froyo ina uwezo wa ku updetika
 
jaman nlikua naptia web flan ya androisds nkakuta t mobiles pamoja na huawei wana taka kuachia androids for only 19.99$ . That will be the cheapest androids ila ndo hvyo im not sure kama hawa T-mobile wanafanya kaz na tanzania bofya hapa
 
Jamani naomba mnisaidie, ninunue cm gani nzuri yenye uwezo mzuri wa internet na iwe na os ya android. Jaribu kutofautisha na bei ikiwa ni pamoja na picha kama inawezekana na mahali nakoweza ipata mie niko mikoani.
 
mkuu ungepitia uzi huu chief mkwawa kaweka v2 vya androids. May b unaweza kupata mwanga kdogo! Uspordhka usisite kutiririka
 
Kama unahitaji simu bomba ya android, nunua SAMSUNG GALAXY S au S2 au S3. You wont regret. Ila kauwezo kawepo.
 
Kama unahitaji simu bomba ya android, nunua SAMSUNG GALAXY S au S2 au S3. You wont regret. Ila kauwezo kawepo.

Bila shaka hizi simu nzuri ila bei balaa. SAMSUNG GALAXY POCKET simu ya android ya bei nafauu.
 
so far ni htc explorer ndo kazuri na bei ndogo take ur time google
 
Kwakuwa umetaka android sina uzoefu sana maana me niliwahi kutumia LG,ila nakushauri ununue iphone ipo sawa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…