Chazea Wazee wa Mjini, dada utazima sigara

Chazea Wazee wa Mjini, dada utazima sigara

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Posts
124
Reaction score
71
Demu mkaliiii alikaa na mzee kwenye daladala siti ya nyuma, mzee kavaa viatu vinatema kishenzi demu kashindwa kuvumilia na kuropoka, "wee mzee ni VIATU vyako vinanuka au?" Mzee akamjibu akasema, "Hapana hebu angalia CHUPI yako labda iko upande mjukuu wangu!"
Yule demu kimyaaaa.
Chezea Wazee wa mjini wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom