Chawa Habib Mchange ameanza kushughulikiwa

Sijui hata nani kamtuma,maana ninavyojua NILESH na Abdul Samia na kina Davis Mosha ni marafiki haswaa na wamepiga sana dili za mafuta,Abdul kaingizwa kwenye chain kipindi hiki..
Mchange pia ni Mchawi balaa
 
Kuna mawili hapa. Mosi, huenda baada ya dulla kuingizwa kwenye biashara ya mafuta amenogewa na anaitaka yote iwe yake ndio maana alimtuma mchange amchakate mdosi.
Pili, huenda mfumo kwa maana ya ccm na serikali yake wamemchoka mchange kwani kila analobuni na kulitekeleza kupitia gazeti lake halileti tija bali huharibu zaidi hivyo anatupwa nje kiana kama ilivyotokea kwa msiba.
Na hapa mdosi atatoa fungu la kumshughulikia akiamini yote mawili but anaweza kusaidia kummaliza huyo mmatumbi na kukosa la awali.
Hata hivyo hili laweza kuwa mbinu ya kutuhamisha kifikra tukasahau ya katiba mpya na free Lissu, tusimame kwenye hoja zetu na ya kwao tuwaachie wenyewe.
 
State oil sio kampuni ndogo kwamba Dulla aweze kuiua na kutawala yeye,ukiondoa PUMA,state oil ni miongoni mwa main supplierafrika mashariki na kati.

Utofauti wa MCHANGE na MUSIBA ni makabila na chimbuko kisiasa.
 
Back
Top Bottom