GE2025 CHAUMMA yavuna wanachama wapya Makambako

GE2025 CHAUMMA yavuna wanachama wapya Makambako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimefanikiwa kupata wanachama wapya katika ziara ya kisiasa ya mtiania wa nafasi ya urais kupitia chama hicho, Salum Mwalimu, iliyofanyika leo Jumatatu, Agosti 18, 2025 mjini Makambako.

Miongoni mwa waliojiunga na chama hicho ni wanachama kutoka vyama tofauti, ambao wameamua kuhamia Chaumma wakieleza sababu mbalimbali ikiwemo kutamani mabadiliko ya kisiasa na kufurahishwa na sera zinazopigiwa chapuo na chama hicho.


 
Hao watu tisa ndiyo wameenda kumdhamini mgombea urais?
October siyo mbali.
 
Back
Top Bottom