GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,843
Wale wote manotaka kujionea chopa kwa karibu hitaji lenu limepata ufumbuzi! Kwa siku 16 mfululizo chopa ya CHAUMU itakuwa hewani kuwaburudisheni nyote!
Sikumbuki tarehe, lakini ni kwa siku kumi na sita mfululizo!
Sikumbuki pia kama watatoa na nauli, au kama kutakuwepo na malori ya kuwasomba watu kwenda mkutanoni kujionea chopa! Lakini unaweza kuwapigia kwa namba ya KATIBU MKUU wao mpya!
Utahudhuria?
Mimi sitakuwa na nafasi!!!