PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tarehe 31/08/2025 Kinatarajia Kuzindua Kampeni za Mgombea Urais Kupitia CHAUMMA Katika Viwanja Vya Kinondoni Biafra Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa umma wa CHAUMMA, John Mrema amebainisha hayo kwenye taarifa aliyoitoa kwenye ukurasa rasmi wa chama hicho akiwaalika wanachama wa CHAUMMA kujitokeza katika viwanja vya Biafra, wilaya ya Kinondoni.