GE2025 CHAUMMA kuteua mgombea urais Agosti 7

GE2025 CHAUMMA kuteua mgombea urais Agosti 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kulingana na taarifa iliyotolewa leo Agosti 5, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Taarifa kwa Umma, John Mrema, Agosti 7 kutakuwa na mkutano mkuu utakaokuwa na ajenda ya kupitisha Ilani ya uchaguzi na ajenda ya kutelua wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar.
View attachment 3432671
View attachment 3432672
Walikuwa wanamtegemea Mpina dalali akawawahi. Tutegemee wimbi kubwa la hao mamluki kutua kwa dalali baada ya ngoma kwenda kombo
 
CHAUMMA imemalizwa na ACT. Kwa Sasa Mbowe akapambane na Mpina tuone nani ana ushawishi.
 
Walikuwa wanamtegemea Mpina dalali akawawahi. Tutegemee wimbi kubwa la hao mamluki kutua kwa dalali baada ya ngoma kwenda kombo
Vip Mwamba bado simu haipokelewi?
 
Back
Top Bottom