Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,755
- 2,644
Kulingana na taarifa iliyotolewa leo Agosti 5, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Taarifa kwa Umma, John Mrema, Agosti 7 kutakuwa na mkutano mkuu utakaokuwa na ajenda ya kupitisha Ilani ya uchaguzi na ajenda ya kutelua wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar.