Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 781
- 1,831
kujiunga na chama chetu,” alisema Kabutali katika mazungumzo maalum na Nipashe Digital.
Aliongeza kuwa wanaendelea na maandalizi kuelekea Juni 27, 2025, ambapo tutatangaza majina ya wagombea wetu wa Urais, Ubunge na Udiwani.
CHAUMMA ambaye hakutaka jina lake litajwe, alikanusha taarifa zinazozagaa mitandaoni kuwa tayari chama hicho kina mazungumzo ya kuwapokea wanachama kutoka Chadema.
“Sio kweli hatujafanya mazungumzo na mtu yeyote, lakini milango ipo wazi kama siku hiyo watakuja, uamuzi wa kuwapokea au kutowapokea utategemea hali ya siku husika,” alisema kiongozi huyo.
Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kuwapokea wanachama wapya kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wakiwemo waliokuwa wanachama wa kundi la G55 lililojitenga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hivi karibuni.
Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA Tanzania Bara, Kayumbo Kabutali, amesema chama hicho hakina pingamizi kwa yeyote anayetaka kujiunga nao, lakini amekanusha uvumi kuwa tayari wameanza kuwapokea wanachama waliotoka Chadema.
“Hakuna wanachadema tuliowapokea hadi sasa, isipokuwa tunaendelea kuhamasisha nchi nzima watu