GE2025 CHAUMMA: Hadi sasa tumeshateua wagombea udiwani 3,182 kati ya kata 3,962 kwa upande wa Tanzania Bara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Naibu Katibu mkuu CHAUMMA, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuteua wagombea wa nafasi ya udiwani kwa upande wa Tanzania bara ambao kwa sasa wanaruhusiwa kwenda kuchukua fomu kwenye tume.

Kigaila ameeleza kuwa wagombea walioteuliwa ni 3182 kati ya kati ya kata 3962 na kwa kata zilizobakia mchakato bado unaendelea.
 
Kuteua wagombea ni jambo moja. Kutafuta KURA ni jambo lingine . Wana mkakati gani wa kutafuta KURA hawa??
 
si uwe na na subra kidogo gentleman, halafu kisha kampeni zikizinduliwa Aug 28, uende ukashuhudie mikakati yao kule field na ground, na itapendeza zaidi?🐒
 
Naibu Katibu mkuu CHAUMMA, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuteua wagombea wa nafasi ya udiwani kwa upande wa Tanzania bara ambao kwa sasa wanaruhusiwa kwenda kuchukua fomu kwenye tume.

Kigaila ameeleza kuwa wagombea walioteuliwa ni 3182 kati ya kati ya kata 3962 na kwa kata zilizobakia mchakato bado unaendelea.
View attachment 3448125
Chauma kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani
 
Kuteua wagombea ni jambo moja. Kutafuta KURA ni jambo lingine . Wana mkakati gani wa kutafuta KURA hawa??
Kuteua tu hao 3182 maana yake CHAUMMA kina wabachama wengi nchi nzima kata zote hizo

Na nyuma ya hao wateuliwa wana watu nyuma yao wa kuwapigia kura na wana mawakala wao pia wa kusimamia kuhesabu kura chumba cha kuhesabu kura
Kifupi CHADEMA wamepoteza fursa muhimu mno kwao kusema hawatashiriki uchaguzi

Ukikataa kula yakhe wenzio wala yakhe
 
Huku ukanda wa kwetu wanatamba.Wanasema ACT ni sawa na CCM
Shida nini CHADEMA na nyie si mngeanzisha vyama vyenu ambavyo ni sawa na CHADEMA. .Bwege wewe.Kuna aliyewazuia?

Siasa ni sayansi sio kelele zenu na Tundu Lisu wenu

Sasa mpo mpo tu hakuna chama cha siasa kinachisimama na nyie
 
Uzuri uliopo Tanzania ni maiti zilizolala mortually. CCM lazima waendelee kutawala milele na ndoo CCM wanalingia hilo. Mimi siku wakibadilisha vifungu vya sheria za uchaguzi ndipo nitakapo piga kula
 
Back
Top Bottom