Mshana Jr nina shida nduguWaswahel wanasema.. Nyota njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasema first impression last conclusion..
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo
Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!
Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi
Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha
Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe
Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweee
Hahaha walilipwa lakini isije kuwa waliahidiwa halafu wakaanza kulalama?!Chaummwa jana walivuna aibu hapa Mwanza
Wamuombe mmiliki wa Singida Black stars awape Diamond Platinumz wazunguke nae Nchi nzima.Waswahel wanasema.. Nyota njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasema first impression last conclusion..
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo
Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!
Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi
Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha
Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe
Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
Hili jina yaani lipo very flexible kuexpress yaliyowapa Mwanza. mfano Chauma Chaumia, Chauma chaumana, chauma chaumwa πππChauma chaumia ππ
Siku Mbowe akiungana na Lissu nitamchukia sana! Na sitaki hili litokee!! Nimetokea kumchukia Lissu kupita kiasi! Mungu anisaidie!Washauri wake wakuu kina Lusungo Fundi Mchundo Ngongo Stuxnet hawapikiki chungu kimoja na Lissu....hivyo hawawezi kumshauri hili.
Wakumbuke Chadema ni imani siyo chama tu. Ipo mioyoni mwa watanzania. Utabiri wangu wa kushika Dola utatimia kama siyo kesho ni kesho kubwa. Kama siyo sisi ni watoto wetuWaswahel wanasema.. Nyota njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasema first impression last conclusion..
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo
Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!
Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi
Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha
Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe
Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
Chawa hujitambui??kwanini hii ni habari njema, ya kufurahisha na ya matumaini sana kwa chadema gentleman?π
IGWEEEEE...Waswahel wanasema.. Nyota njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasema first impression last conclusion..
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo
Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!
Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi
Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha
Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe
Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
unaejitambua umebaki na uropokaji tu kichwani right?Chawa hujitambui??
cheki lema alivyomanafiki hapo
ππππHili jina yaani lipo very flexible kuexpress yaliyowapa Mwanza. mfano Chauma Chaumia, Chauma chaumana, chauma chaumwa πππ
Chauma kitaumizwa na wasaliti g55Waswahel wanasema.. Nyota njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasema first impression last conclusion..
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo
Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!
Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi
Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha
Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe
Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
Zamani ukitaka kadi ya Yanga kama uko Mwaza ilikuwa unahudumiwa kwenye ofisi za Toto Africa.Itoshe kusema kuwa CHAUMA ni CCM "B"
Naona sasa CHADEMA mmeanza kushindana na CHAUMMA. Kwa hakika mmepoteza Dira na muelekeo kabisa.