Chatu ndani ya gari

Chatu ndani ya gari

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
Sijui kaingiaje humu?

Chatu ndani ya gari.jpg
 
Mi nilijua CHATU nanihii looh!!!!!ushaniharibia siku tayari
 
Hapa hata traffic hakupigi mkono wala nn!
Ikibidi wanakupa king'ora cha kukusindikiza!
 
huu ulinzi tosha vibaka wa kuiba power window na sight mirror wamepata dawa yao.
 
Ukiiba hiyo gari lazima ukaisalimishe polisi mwenyewe
 
Back
Top Bottom