Chatu ameza mbwa!!!

Chatu ameza mbwa!!!

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Chatu ameza mbwa mzima Bagamoyo.

attachment.php
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376286558605.jpg
    uploadfromtaptalk1376286558605.jpg
    69 KB · Views: 1,321
Hmm!!hatari sana inaonekana alikuwa na njaa sana huyo chatu.
 
Hawa viumbe wana misuli inayoweza kuvutika kirahisi mno...

African_rock_python_bites_fence.jpg
 
Chatu mkali porini mwamuogopa x 2
Mnyama hatari asiyo......
Hupenda maporini......

Kibao hiki sijui kiliimbwa na Bendi gani ?
 
halafu huyo mbwa kaenda mwenyeeeeeeewe......unadhani chatu alimfuata........
 
Dr hata sijui huwa wanaitikiaje...lakni imeenda vyema kabisa...vipi weye pande za Yaeda?

ilienda vizuri.....ila Dr ulipotea......mimi nilikuwa maeneo ya WaterFalls.......
 
ilienda vizuri.....ila Dr ulipotea......mimi nilikuwa maeneo ya WaterFalls.......

Hahah na kweli maana nami sikuwepo mjini Dr nilijongea mbali kidogo na hili jiji letu

Ntakucheck mida mida basi Dr
 
unashangaa chatu kumeza mbwa? hebu tazama hii
 

Attachments

  • chatu.jpeg
    chatu.jpeg
    11.5 KB · Views: 1,211
Huyo mbwa yuko wapi sasa? Mbona haonekani? Na kama haonekani nyie mmejuaje kama mbwa ndo kamezwa na si swala mtoto au mnyama mwingine?
 
Hawa viumbe wana misuli inayoweza kuvutika kirahisi mno...

African_rock_python_bites_fence.jpg


Duh!Mwili umenisisimka kuona hii picha aisee!Hapo huyu ni mzima? Anafanya nini hivyo?Duh na uanaume wangu lakini hawa viumbe nawaogopa sana kwakweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom