Chatu afa baada ya kumeza Nungunungu

Labda huyo chatu alikuwa na tatizo la macho, alimwona nungunungu akadhani ni kalunguyeye!

ahaaa...umenikumbusha namna kalungu yeye walivyo wasumbufu shambani...


Chatu kajutaa kumuona nungu nungu.
imebaki historia tu ....kumbuka ule wimbo wa " sifa za marehemu alikuwa..."

bora angemeza ccm kama watanu hivi wanaotuletea zahama nchini
duuu.. mkuu una munkari na magamba.

Chatu naye angemuua nungunungu kwanza halafu ndio ammeze.
nungu nae si muhuni vile vile...na ndo maana akaamua kumpiga ile style ya "aliyeuza cheni bandia naye kapewa hela bandia"
 
Chatu nae!!!toka lini viatu vikavaliwa mikononi?au ndo kufunga bembea kwenye mpapai?nungunungu is my champion
 
Hapo ni Unyama unyamani.

kweli mkuu....

Hiyo inaitwa lazima tufe wote
Tena lazima wote tufe kishujaa....

Mbwa kala mbwa
Mbwa kala papai.

Hivi chatu wanakula simba na chui?
Hii sina hakika mkuuu.

Na mim huwa najiuliza hilo swali, ila nadhani sio rahisi chatu kumkamata chui
ila chui akidinda wana zenguana kama kawa...mfano ona hapa


huyo chatu nae mjinga kwani hakuona kama anachomwa mdomoni, si angemtema mapema kabla hajammeza?? R.i.p wote
alitaka kujifanya nayeye ni mbavu nene....

Watanzania tukikubali kuwapa chadema/ ukawa hii nchi tutakuwa sawa na huyo chatu. Lazima nchi yetu itaharibiwa vibaya.

Mandla.
thibitisha kauli yako mkuu.

Chatu kafa kishujaa
kama bosi kufa na tai shingoni.......

ahaaa...CCM njooni msome hapa kuna mfano hai una wahusu.
 
Ndo akome!
Uroho ume mponza....

chezea njaa wewe
njaa mwana hara.mu.....

ule msemo wa usmchezee chatu naona umekuwa vais vesa
jamaa ukimgusa anakuchana chana na viwembe (miba yake).

Oooh Maskini.. kwahiyo wamepoteza vivutio vya utalii viwili kwa wakati mmoja..!! Pole zao mingi.

BACK TANGANYIKA
wata waweka makumbusho....kwa ajili ya utalii wa vizazi vijavyo.

Eti "bora tufe wote" nungunungu bwana !!!
kama noma na iwe noma tu.

Duu.. kwanini nungunungu hakutoa miba yake kabla hajaliwa/mezwa?
Alikuwa kamkaushia tu .....

maswali mengine hayana majibu!
Bali yanaacha gumzo sana.

hahahaha october chatu anaenda kuaibika
ahaaaa....mkuu wakikusikia wata umia sanaa...

sijawai kutana na tukio km hilo kwan mazingira ya chatu na chui hayafanan..
 
Funzo:
Si kila achukuae fomu anafaa kuwa rais!
Ikulu si ya baba'ko

ahaaa....mkuu "mako " atakuwa kakusikia, ataufanyia kazi ujumbe wako.

Anaconda na Chatu kuna tofauti gani?


Njaa ni mbaya saana.

Huu ni mfano tosha saana kwa watz muda huu ... njaa zetu zisitufanye tuuze hii nchii .. tutakuja kuuishia pabaya .. ikiwa ni pamoja na ww mpokea rushwa na mto rushwa.
ahaaa..... umesomeka jombaa

Tofauti zipo kadhaa. Moja ni: Chatu/ Python hutaga mayai na Anaconda huzaa 'live young'.
naaam mkuu, asante...

Duh hapo sasa familia ya nungunungu ijipange!!! Maana yatakayofuata hapo ni tatizo wakija akina anaconda na wapambe wao
nungu nungu ni jeshi la mtu mmoja....

Nungunungu kiboko, ila ananyama tamu, kama ya kuku!
ahaaa...na ndo maana chatu alitaka ku test nyama yake aone utamu wake ulivyo.

Huyo nungunungu alikua na dhumuni la kujitoa mhanga ili awasaidie waliobaki mkuu
ahaaa....kwahiyo naye ni shababi....
 
nungu nungu mkubwa hivyo mkuu? kama ndama vile

Aisee ni wakubwa hawa wanyama mi mwenyewe siku nimewaona live sikuamini....eti nilikuaga nadhani wapo kama sungura weeeee...kumbe sungura anaingia zaid ya mara 10.. TV zinatupotosha sometimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…