Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,599
- 5,494
Alinunua line mpya ujueLine inachajiwa?
Alinunua line mpya ujueLine inachajiwa?
Hata yule aliyemsajiria line rais mwishoni mbona hakumchaji hela ya line,nae huenda yakawa maigizo mengine
Au angeutumia kufyatua mtoto mwengineMleta mada kama huna cha kuandika ni bora kipindihiki cha mvua muda uliotumia kuandika uo upuuzi unge utumia kulima ata tuta moja la viazi familia yako ingekuona wa maana pindi utakapo vuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kusema Afisa Usalama wa Taifa pale Chato hafai. Kwasababu alitakiwa kuthibitisha kuwa kweli huyu ni kijana wake. Kama ndiyo basi siku moja tutawapa microphone hata Al Shaban. Kuwrni makini wakuu wetu wa usalama.Huyu ni muuza chipsi aliyemfanyia maombo Rais Magufuli na baadaye alipewa laki moja na mh. Rais ili akuze mtaji wake wa chipsi.
Kijana huyu mwenye miaka 23 alijichanganya kwa kutoa taarifa zisizo endana ambazo zimezua maswali mengi kwa watanzania na kuona lile lilikuwa ni igizo lililopangwa ili kunasa fikra za watanzania na kukuza coverage ya serikali iliyopo madarakani.
Kijana Steven Joseph mwanzo alisema kuwa alitoka Mara na kwenda Chato kwa lengo la kwenda kumuona mh. Rais na kumpongeza kwa kazi anazozifanya mh. Rais za kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya nchi.
Akiwa amekisahau alichosema mwanzo, Steven Joseph akasema yeye ni mkazi wa Chato na anakibanda cha kuuza chipsi pale Chato. Inaonekana Kijana Steven hakusoma na kunakiri vizuri script ya movie mwisho wa siku akaharibu movie nzima. Pengine director wa movie hiyo hawakumpa kijana huyo muda wa kutosha wa kuifanyia mazoezi movie hiyo.
Sasa kuna wafanyabiasha wadogo wadogo wa maeneo ambayo Steven amesema anafanyia biashara zake za kukaangia chipsi wamesema hawamjui kabisa na ndiyo kwanza wengine wamesema wamemuona siku ile alipokuwa anafanya maombi mbele ya Rais.
Directors pangeni maigizo yenu vizuri mnatia aibu.
Ha haha! Ni aibu kumfanyisha Rais wa nchi sanaa za kitoto namna ile! Oneni aibu baba wa watu mnamtembeza mitaani na ma mic na spika, kamera na mbwembwe kama Diamond au Harmonize!Usajili wa line Ni bure
Mawakala mbona karibu wote wanatoza 1000?!!!ukitaka bure nenda kapange foleni kwenye ofisi husikaUsajili wa line Ni bure
hao ndo vichwa maji wa humu mkuu
Bure kwa officiall agent. Ila huku mtaani wanalipa buku.Usajili wa line Ni bure
Kwa hiyo kabadilisha namba ya simu? Nachofahamu line halipiwi ila unalipia muda wa maongezi ya kuanzia kwenye hiyo laini inaposajiliwa kwa alama za vidoleAlinunua line mpya ujue
Nauli ya kuzunguka watoe wapi?Bure kwa officiall agent. Ila huku mtaani wanalipa buku.
Kama yule wa Magu ni bure
Mara nyingi jioni nikitoka kazini nachukua chips kwenye kibanda cha huyu dogo kuwapelekea watoto nyumbani,sasa sijui ww unaandika utumbo gani huu. Hapa ndipo naamini mna chuki binafsi na Mh Rais Magufuli. Njoo hata kesho utamkuta huyu dogoHuyu ni muuza chipsi aliyemfanyia maombo Rais Magufuli na baadaye alipewa laki moja na mh. Rais ili akuze mtaji wake wa chipsi.
Kijana huyu mwenye miaka 23 alijichanganya kwa kutoa taarifa zisizo endana ambazo zimezua maswali mengi kwa watanzania na kuona lile lilikuwa ni igizo lililopangwa ili kunasa fikra za watanzania na kukuza coverage ya serikali iliyopo madarakani.
Kijana Steven Joseph mwanzo alisema kuwa alitoka Mara na kwenda Chato kwa lengo la kwenda kumuona mh. Rais na kumpongeza kwa kazi anazozifanya mh. Rais za kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya nchi.
Akiwa amekisahau alichosema mwanzo, Steven Joseph akasema yeye ni mkazi wa Chato na anakibanda cha kuuza chipsi pale Chato. Inaonekana Kijana Steven hakusoma na kunakiri vizuri script ya movie mwisho wa siku akaharibu movie nzima. Pengine director wa movie hiyo hawakumpa kijana huyo muda wa kutosha wa kuifanyia mazoezi movie hiyo.
Sasa kuna wafanyabiasha wadogo wadogo wa maeneo ambayo Steven amesema anafanyia biashara zake za kukaangia chipsi wamesema hawamjui kabisa na ndiyo kwanza wengine wamesema wamemuona siku ile alipokuwa anafanya maombi mbele ya Rais.
Directors pangeni maigizo yenu vizuri mnatia aibu.
Kwanza jina WANDWI,asiliyake ni nchi jirani Rwanda na Burundi.
Ipo haha ya kuwa na daftari la wakazi kudhibiti wahuni Kama huyo kijanaMuuza chips mwongo mwongo.. Huenda akawauzia watu mishikaki ya mbwa akidai ni ya punda alivyomsaulifu
The silliest man ever seen in bongoland.Nyambafu wew
Jihadhari na hawa wapotoshaji!
Wengi tumejua ile ni movie ya kihindi kijana alipangwa kabisaHuyu ni muuza chipsi aliyemfanyia maombo Rais Magufuli na baadaye alipewa laki moja na mh. Rais ili akuze mtaji wake wa chipsi.