Chato: Wafanya biashara wadogo wakana kumjua Steven Joseph Wandwi

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Huyu ni muuza chipsi aliyemfanyia maombo Rais Magufuli na baadaye alipewa laki moja na mh. Rais ili akuze mtaji wake wa chipsi.

Kijana huyu mwenye miaka 23 alijichanganya kwa kutoa taarifa zisizo endana ambazo zimezua maswali mengi kwa watanzania na kuona lile lilikuwa ni igizo lililopangwa ili kunasa fikra za watanzania na kukuza coverage ya serikali iliyopo madarakani.

Kijana Steven Joseph mwanzo alisema kuwa alitoka Mara na kwenda Chato kwa lengo la kwenda kumuona mh. Rais na kumpongeza kwa kazi anazozifanya mh. Rais za kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya nchi.

Akiwa amekisahau alichosema mwanzo, Steven Joseph akasema yeye ni mkazi wa Chato na anakibanda cha kuuza chipsi pale Chato. Inaonekana Kijana Steven hakusoma na kunakiri vizuri script ya movie mwisho wa siku akaharibu movie nzima. Pengine director wa movie hiyo hawakumpa kijana huyo muda wa kutosha wa kuifanyia mazoezi movie hiyo.

Sasa kuna wafanyabiasha wadogo wadogo wa maeneo ambayo Steven amesema anafanyia biashara zake za kukaangia chipsi wamesema hawamjui kabisa na ndiyo kwanza wengine wamesema wamemuona siku ile alipokuwa anafanya maombi mbele ya Rais.

Directors pangeni maigizo yenu vizuri mnatia aibu.
 
hahahaaaa!!

umenikumbusha hii post hapa chini kutoka thread fulani....

Timu yangu: Simba sport club

Taifa. France

Mchezaji wangu bora ni Rwanyamila #Rip

Chama changu cha siasa: Chadema

Mwanasiasa wangu bora Mbowe au kamanda wa Anga

Muigizaji wangu wangu wa mda wote Magufuli.
 
kwani huwezi kwenda sehemu ukajishikiza kwa biashara yoyote kwa muda huo!!!lets say ana wiki pale alipo.

tukiweka pembeni kutofahamika kwa huyo mwamba.
 
Nasubiri treni ya umeme
2j75pc.jpg

Utasubiri sana ila ghafla utaambiwa ile ya reli ya mjerumani ya Tanga imefufuliwa utashurutishwa kupiga Vigelegele na Kusifia saana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom