Chato: Wafanya biashara wadogo wakana kumjua Steven Joseph Wandwi

Muuza chips mwongo mwongo.. Huenda akawauzia watu mishikaki ya mbwa akidai ni ya punda alivyomsaulifu
 
Huyu ni muuza chipsi aliyemfanyia maombo Rais Magufuli na baadaye alipewa laki moja na mh. Rais ili akuze mtaji wake wa chipsi.

Kijana huyu mwenye miaka 23 alijichanganya kwa kutoa taarifa zisizo endana ambazo zimezua maswali mengi kwa watanzania na kuona lile lilikuwa ni igizo lililopangwa ili kunasa fikra za watanzania na kukuza coverage ya serikali iliyopo madarakani.

Kijana Steven Joseph mwanzo alisema kuwa alitoka Mara na kwenda Chato kwa lengo la kwenda kumuona mh. Rais na kumpongeza kwa kazi anazozifanya mh. Rais za kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya nchi.

Akiwa amekisahau alichosema mwanzo, Steven Joseph akasema yeye ni mkazi wa Chato na anakibanda cha kuuza chipsi pale Chato. Inaonekana Kijana Steven hakusoma na kunakiri vizuri script ya movie mwisho wa siku akaharibu movie nzima. Pengine director wa movie hiyo hawakumpa kijana huyo muda wa kutosha wa kuifanyia mazoezi movie hiyo.

Sasa kuna wafanyabiasha wadogo wadogo wa maeneo ambayo Steven amesema anafanyia biashara zake za kukaangia chipsi wamesema hawamjui kabisa na ndiyo kwanza wengine wamesema wamemuona siku ile alipokuwa anafanya maombi mbele ya Rais.

Directors pangeni maigizo yenu vizuri mnatia aibu.
Kwa hiyo unataka kusema Afisa Usalama wa Taifa pale Chato hafai. Kwasababu alitakiwa kuthibitisha kuwa kweli huyu ni kijana wake. Kama ndiyo basi siku moja tutawapa microphone hata Al Shaban. Kuwrni makini wakuu wetu wa usalama.
 
Usajili wa line Ni bure
Ha haha! Ni aibu kumfanyisha Rais wa nchi sanaa za kitoto namna ile! Oneni aibu baba wa watu mnamtembeza mitaani na ma mic na spika, kamera na mbwembwe kama Diamond au Harmonize!
Pale kwanza hakwenda kufanya usajili maana kaulizwa namba yako ngapi kagoma akasema nataka line mpya. Jee hana nyingine? Kwa nini hakuisajili? Acheni fix.
Kwanza likizo gani na maspika na mic kila mahala? Mwacheni apumzike jamani! Ndio maana anachoka hadi anasahau akiongea kuwa Jana kaongea nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza jina WANDWI,asiliyake ni nchi jirani Rwanda na Burundi.
 
Huyu ni muuza chipsi aliyemfanyia maombo Rais Magufuli na baadaye alipewa laki moja na mh. Rais ili akuze mtaji wake wa chipsi.

Kijana huyu mwenye miaka 23 alijichanganya kwa kutoa taarifa zisizo endana ambazo zimezua maswali mengi kwa watanzania na kuona lile lilikuwa ni igizo lililopangwa ili kunasa fikra za watanzania na kukuza coverage ya serikali iliyopo madarakani.

Kijana Steven Joseph mwanzo alisema kuwa alitoka Mara na kwenda Chato kwa lengo la kwenda kumuona mh. Rais na kumpongeza kwa kazi anazozifanya mh. Rais za kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya nchi.

Akiwa amekisahau alichosema mwanzo, Steven Joseph akasema yeye ni mkazi wa Chato na anakibanda cha kuuza chipsi pale Chato. Inaonekana Kijana Steven hakusoma na kunakiri vizuri script ya movie mwisho wa siku akaharibu movie nzima. Pengine director wa movie hiyo hawakumpa kijana huyo muda wa kutosha wa kuifanyia mazoezi movie hiyo.

Sasa kuna wafanyabiasha wadogo wadogo wa maeneo ambayo Steven amesema anafanyia biashara zake za kukaangia chipsi wamesema hawamjui kabisa na ndiyo kwanza wengine wamesema wamemuona siku ile alipokuwa anafanya maombi mbele ya Rais.

Directors pangeni maigizo yenu vizuri mnatia aibu.
Mara nyingi jioni nikitoka kazini nachukua chips kwenye kibanda cha huyu dogo kuwapelekea watoto nyumbani,sasa sijui ww unaandika utumbo gani huu. Hapa ndipo naamini mna chuki binafsi na Mh Rais Magufuli. Njoo hata kesho utamkuta huyu dogo
 
1577492578793.png

Jihadhari na hawa wapotoshaji!
The silliest man ever seen in bongoland.Nyambafu wew
 
Huyu ni muuza chipsi aliyemfanyia maombo Rais Magufuli na baadaye alipewa laki moja na mh. Rais ili akuze mtaji wake wa chipsi.

Kijana huyu mwenye miaka 23 alijichanganya kwa kutoa taarifa zisizo endana ambazo zimezua maswali mengi kwa watanzania na kuona lile lilikuwa ni igizo lililopangwa ili kunasa fikra za watanzania na kukuza coverage ya serikali iliyopo madarakani.

Kijana Steven Joseph mwanzo alisema kuwa alitoka Mara na kwenda Chato kwa lengo la kwenda kumuona mh. Rais na kumpongeza kwa kazi anazozifanya mh. Rais za kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya nchi.

Akiwa amekisahau alichosema mwanzo, Steven Joseph akasema yeye ni mkazi wa Chato na anakibanda cha kuuza chipsi pale Chato. Inaonekana Kijana Steven hakusoma na kunakiri vizuri script ya movie mwisho wa siku akaharibu movie nzima. Pengine director wa movie hiyo hawakumpa kijana huyo muda wa kutosha wa kuifanyia mazoezi movie hiyo.

Sasa kuna wafanyabiasha wadogo wadogo wa maeneo ambayo Steven amesema anafanyia biashara zake za kukaangia chipsi wamesema hawamjui kabisa na ndiyo kwanza wengine wamesema wamemuona siku ile alipokuwa anafanya maombi mbele ya Rais.

Directors pangeni maigizo yenu vizuri mnatia aibu.
Wengi tumejua ile ni movie ya kihindi kijana alipangwa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom