Chato tunaomba tujengewe Chuo Kikuu

Mbona unateseka we mzee?
 
Chato tunaomba tuletewe bahari size ya Atlantic Ocean!
 
lazma tujengewe , hiki ndio kituo kikuu cha utalii .
 
sawa tu kwa hali ya hewa na ardhi ya chato panafaa sana kujengwa chuo kikuu cha kimataifa,watoto watasoma tu
 
naunga mkono hoja, pia itapendeza serikali iweke fly over katika kila makutano ya barabara chato

vile vile kila mkazi wa chato apatiwe tshs 100,000@ kwa mwezi kwa ajili ya kujikimu na hali ngumu ya maisha
 
Ombi lako hili pamoja na mengine yote yanayohusu neno "chato" yamekubaliwa ila tu usiombe kuhamishia bahari yetu chato kwani uwezo huo sina , nasema kweli kwani msema kweli ni mpenzi wa munguu!
 
Chato cardioac institute
Chato institute of technology

Kipi kati ya hayo ungependa yatimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…