Chato tunaomba tujengewe Chuo Kikuu

Umeingia mkenge mwenyewe. Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa nataka na kutafuta.

Usiku wa leo Nitalala vizuri. Hapa nilipo naruka ruka punching the air violently, vigorously and aggressively with jubilation.

Congatulations if you believe you have won me!!! I haven't changed, I am the same as always.
 
Ni Wazo jema ila Ushauri wangu tu pekee ninaomba Kikifunguliwa basi Academic Plagiarism hasa katika PhD's Thesis za Wanafunzi hapo usiwepo.
 
Mh alitakiwa kutana na watu wenye mahamuzi magum,ambao kwao kazi sawa imechukuliwa sawa,so far hunitoi uhai ,anatoa uso wa ukausu wewe unamtolea jicho jekundu ,akisema naujua afya mala nini,unamwambia hapana haiko hivyo,so far una evidence,Sasa akikutana na wale wa kutetemeka,anawapatia kweli Yani, mpaka natamani ningekua serikalin, nikutane nae face by face,ahanze leta sijui mie utawala puplic health and adm nipo fresh, mkurugenzi wa TIBA Mara RMO niliwahi ,ningempa majibu sahii, AFYA HAITAKI SIASA, A ni A na B ni B kwamba ,Sasa analeta Mambo ya kutembea scaff ya bendera, na ilani ya chama kwani mgonjwa kuandikiwa dawa,surgery, mlipuko wa kipindupindu, nk vinahitaji ilani ya chama,
Mfano pamoja na kua DMO,RMO, MKURUGENZI WA TIBA, huko kwenye sehem ya kutolea huduma ndani ya vituo anajua watu wanavyofanya kazi by the way vyeo vyote hivyo ni vya kuagiza na kupata malupulupu na mshahara mzuri ila kiutendaji hajui lolote,
 
Wenzenu kote wanajenga wenyewe!
 
Ombeni hata mbingu zijengwe hapo nani anajali [emoji107]

Odhis *
 
Naunga mkono hoja
 
Na hii itakuwa ktk sera ya "saccos" ya kutaka kumfarakanisha JPM na wananchi na ku create issue ya Chato
 
Waambie wavihamishe UDOM na UDSM,
Kwani idani ya wakazi wa CHATO wako wangapi?
 
United Republic of people of Chatoh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…