Chato: Rais Magufuli akutana na Prof. Ibrahim Gambari mjumbe wa Rais wa Nigeria

Ikulu ndogo ya Chato
nyumbani kwake ...

toka akiwa waziri alijenga mji hapo hadi una traffic lights na vituo vya dala dala kama mjini no wounder sasa airport ya kimataifa [ya mwanza isubiri ] na offcourse hotel ya five star ...Gbolite ndogo
 
Magifuli na buhari wanafarijiana baada ya kudhihirika kuwa failires wote hawana mbinu wameua uchumi Nigeria iko hoi taaban kiuchumi pia wanaikimbilia Zimbabwe
 
Kumbe ndio maana akajenga uwanja kule, uwanja ukikamilika nadhani mahudhurio yataongezeka, na atatembelewa na watu wengi zaidi
Nikiwa mkazi wa Musoma wakati huo wa Mwl., nilishuhudia viongozi wa nchi achilia mbali hawa wajumbe, kibao wakimiminika Butiama ili hali hakuna uwanja wa ndege wa kihivyo.
Kwa hiyo chato ndiyo itakuwa sehemu ya kuongea na wageni, mzee wa msoga njoo utoe ufafanuzi huku
 
Walikuwa wana agenda gani ?
Hatujui, labda pengine miongoni mwa agenda zingine ni KUFUNDISHWA
1. Namna ya kushirikiana ili kuumaliza UFISADI Afrika.
2."HOW TO FIGHT CORRUPTION once you come to power"/Namna ya kupambana na UFISADI punde ukishika madaraka
3 How to MAGUFULIFY deals and dealers that MILK State coffers/Namna ya kutumia mbinu za Magufuli dhidi ya wapiga deal na wezi wa mali ya umma
4.How to collect TAXES to the tune of buying AIRCRAFTS in CASH Kukusanya kodi hadi kununua ndege keshi.
5.TUMBULIFICATION of under performing State officials/Namna ya KUTUMBUA watumishi wazembe!
6.How to DETECT ghost workers on payroll /De HEWALIZATION etc./Namna kuwagudua wafanyakazi HEWA nk.
HAPA KAZI TU!!
 
Katika miji ambayo ni ya kuwekeza kwa sasa no Chato mapeeema.Ikishajengwa Airport basi lazima kuwe na mahoteli makubwa nakadhalika.Naelekea Chato mimi.............nikawahi
 
Kweli jamaa anabana matumizi ya serikali yake hata sofa alizokalia zimetengenezwa na magereza
 
Nikiwa mkazi wa Musoma wakati huo wa Mwl., nilishuhudia viongozi wa nchi achilia mbali hawa wajumbe, kibao wakimiminika Butiama ili hali hakuna uwanja wa ndege wa kihivyo.
Ebu mtaje kiongozi aliyekuja Butiama wakati Mwl. Nyerere akiwa bado Ikulu...
 
Back
Top Bottom