Chatini ya Karoti, Nazi na vitunguu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141
Leo tumetumiwa mahitaji ya kutengeneza Chatini ya karoti, nazi na vitunguu. Hatukuelezewa hatua za kuipika hii chatini mpaka itokee kama picha ilivyotumwa, naamini mdau alikutana nayo sehemu, akaipiga picha baada ya kumvutia pamoja na utamu baada ya kuila, kisha akaulizia mahitaji gani yametumika katika utengenezaji kwa nia nzuri ya kushare nasi.

Tutamtafuta Bi farkhina na chanzo cha pishi hili ili kufuatilia hatua alizozifanya mpaka kupata hiyo Chatini kama inavyoonekana kwenye picha
Wakati twasubiria hatua, tuangalie ni mahitaji gani yanahitajika katika upishi huu.....

Mahitaji:

  • Kitunguu maji kikubwa - 1
  • Karoti kubwa - 1
  • Nazi - tui lake kipimo cha nusu kikombe
  • Pilipili mbuzi kubwa - 1 au 2 (inategeme unataka iwe kali kiasi gani)
  • Kotmil - fungu 1
  • Rojo ya ukwaju kipimo cha nusu kikombe
  • Chumvi kiasi
Baada ya kuviunganisha viungo vyote, ambapo tutarejea kuwajuza tunaviunganishaje, kama ni kuvipika au kusaga tu, Chatini yako ya karoti, nazi na vitunguu maji itaonekana kama hivi:

Kama una ufahamu wa hatua za kupitia mpaka tufikie hapo mwisho karibu kushare nasi.

Chatini hiyo nazi yake unakuna kwa kibao kisha kwenye blender unasaga nazi, pilipili, mvuje na kotmiri.

Baada ya hapo unaweka katika bakuli unaongeza chumvi, ndimu na karoti laini ilioparwa.

Chatne hiyo nazi yake unakuna kwa kibao kisha kwenye blender unasaga nazi,pilipili,mvuje na kotmiri. Baada ya hapo unaweka katika bakuli unaongeza chumvi, ndimu na karoti laini ilioparwa.
 
apo chacha nimetaman nikimbilie sehem nikapate haya makitu nimemis escape 1 kipindi cha mfungo lol!

Urojo unapatikana Msikiti wa Kichangani Magomeni,Masjid Kiblatein, KAriakoo na Msikiti wa Manyema, hukohuko Kariakoo na juisi za aina mbalimbali mradi tu uweze kula huku umesimama. Pale Coco Beach pia upo ila hapanibariki sana kwa kuwa bei huwa juu na mara kadha nimelishwa urojo wa baridi. Mimi na vanmedy huwa tuna kiota chetu pale Msasani mkabala na Kanisa la Kilutheri, unakaribishwa pia.
 
Last edited by a moderator:

uko sahihi kaka ni hatari.. gfsonwin afanye aje apate ladha kaka Mphamvu
 
Last edited by a moderator:
uko sahihi kaka ni hatari.. gfsonwin afanye aje apate ladha kaka Mphamvu
nashukuru sana Mphamvu na vanmedy sasa itabidi nibadili kijiwe badala ya kila siku kunywa ghahawa jion pale silevr spoon nitakuwa nabadili siku nyingine naja kula urojo msasani ila tu mnishike mkono mwenzenu mie mitaa iyo mgeni. haya shostito wangu cacico sasa tumepata kijiwe cha kubadilisha fancy za jion.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom