Chati ya Kisiasa: Magufuli anaenda chini kasi, Kikwete anarudi juu taratibu

Wakuu,

Mhe Magufuli alipoingia madarakani miezi sita iliyopita kasi yake ilimpandisha chati kisiasa na kumporomosha JK hadi kuonekana hakuwa Rais anayefaa kabisa.

Lakini kutokana na maamuzi na kauli za sasa za JPM, kupishana kauli na mawaziri wake, ubabe usio na sababu ukichangia na uhaba wa bidhaa kama sukari tuu kumemshusha kwa kasi sana na watu kuanza kumuona.

JK kuwa pamoja na madhaifu yake mengi, kiuongozi alikuwa anafit nafasi hiyo kuliko JPM.

Mvutano huu wa njoo juu nenda chini kati Rais na Mwenyekiti wa chama tawala waweza kukivuruga zaidi chama hicho na kusababisha zoezi la kukabidhiana chama mwezi huu June likaota mbawa.
Sina cha kuongeza .
 
Jk Alikua ana ubinadamu sana, ana utu jamani yule baba

Wakuu

Mhe Magufu

li alipoingia madarakani miezi sita iliyopita kasi yake ilimpandisha chati kisiasa na kumporomosha JK hadi kuonekana hakuwa Rais anayefaa kabisa.

Lakini kutokana na maamuzi na kauli za sasa za JPM, kupishana kauli na mawaziri wake, ubabe usio na sababu ukichangia na uhaba wa bidhaa kama sukari tuu kumemshusha kwa kasi sana na watu kuanza kumuona.

JK kuwa pamoja na madhaifu yake mengi, kiuongozi alikuwa anafit nafasi hiyo kuliko JPM.

Mvutano huu wa njoo juu nenda chini kati Rais na Mwenyekiti wa chama tawala waweza kukivuruga zaidi chama hicho na kusababisha zoezi la kukabidhiana chama mwezi huu June likaota mbawa.
 
Unaweza kuwa kichaa nchi hii. Hawa hawa ndio walikuwa wakisema maneno ya kufuru juu ya JK ...sasa wanahamisha magoli. Mtabakia kuwa wapinzani wa kudumu labda ndio fahari yenu.
 
kumlinganisha kikwete na magufuli sio sahihi
Magufuli is far top kwa vigezo vyote!1
jaqna huoni kamwambia uliniachia kazi kubwa kila kona HEWA!!
Kutumbua HIZO HEWA JAMANI MSIDHANI NI RAHISI KIASI HICHO LAZIMA ZIPINDE KIDOGO!! Bravo JPM Kaza buti hadi discipline iwepo!! tena namshauri aongeze siyo tu kuchoma matairi bali na MIKWAJU!! kama bakora mbili za nguvu papo kwa papo!! na MP wasimamie zoezi UOZO WOOTE utaisha. wacha asafishe nchi. ILIOZA!!!
 
Wakuu,

Mhe Magufuli alipoingia madarakani miezi sita iliyopita kasi yake ilimpandisha chati kisiasa na kumporomosha JK hadi kuonekana hakuwa Rais anayefaa kabisa.

Lakini kutokana na maamuzi na kauli za sasa za JPM, kupishana kauli na mawaziri wake, ubabe usio na sababu ukichangia na uhaba wa bidhaa kama sukari tuu kumemshusha kwa kasi sana na watu kuanza kumuona.

JK kuwa pamoja na madhaifu yake mengi, kiuongozi alikuwa anafit nafasi hiyo kuliko JPM.

Mvutano huu wa njoo juu nenda chini kati Rais na Mwenyekiti wa chama tawala waweza kukivuruga zaidi chama hicho na kusababisha zoezi la kukabidhiana chama mwezi huu June likaota mbawa.
Umefanya utafiti? wa twaweza au REPOA au nini wale!!! bila data wacha kupotosha Umma.
 
Unaweza kuwa kichaa nchi hii. Hawa hawa ndio walikuwa wakisema maneno ya kufuru juu ya JK ...sasa wanahamisha magoli. Mtabakia kuwa wapinzani wa kudumu labda ndio fahari yenu.
Hivi hata wewe mzoefu huwezi kutambua nini kinasemwa hapa? Kumbe nawe ni walewale. Watu wanalinganisha wabovu wawili ndani ya chama moja na kusema zaidi ni nani wewe unadhani kuna anayesifiwa? Mbona mna matatizo ya ufahamu? Tatizo ni nini? Elimu au mahaba?
 
Wakuu,

Mhe Magufuli alipoingia madarakani miezi sita iliyopita kasi yake ilimpandisha chati kisiasa na kumporomosha JK hadi kuonekana hakuwa Rais anayefaa kabisa.

Lakini kutokana na maamuzi na kauli za sasa za JPM, kupishana kauli na mawaziri wake, ubabe usio na sababu ukichangia na uhaba wa bidhaa kama sukari tuu kumemshusha kwa kasi sana na watu kuanza kumuona.

JK kuwa pamoja na madhaifu yake mengi, kiuongozi alikuwa anafit nafasi hiyo kuliko JPM.

Mvutano huu wa njoo juu nenda chini kati Rais na Mwenyekiti wa chama tawala waweza kukivuruga zaidi chama hicho na kusababisha zoezi la kukabidhiana chama mwezi huu June likaota mbawa.
Ingekuwa Lowasa ndiyo anakwenda juu kwa kasi ingekuwa habari. Hii huwa hali ya kawaida sana. Au haya ndiyo mabadiliko yako ya kwanza kuyashuhudia ukiwa umeachana na utoto?
 
Back
Top Bottom