Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,374
- 72,891
Wakuu,
Mhe Magufuli alipoingia madarakani miezi sita iliyopita kasi yake ilimpandisha chati kisiasa na kumporomosha JK hadi kuonekana hakuwa Rais anayefaa kabisa.
Lakini kutokana na maamuzi na kauli za sasa za JPM, kupishana kauli na mawaziri wake, ubabe usio na sababu ukichangia na uhaba wa bidhaa kama sukari tuu kumemshusha kwa kasi sana na watu kuanza kumuona.
JK kuwa pamoja na madhaifu yake mengi, kiuongozi alikuwa anafit nafasi hiyo kuliko JPM.
Mvutano huu wa njoo juu nenda chini kati Rais na Mwenyekiti wa chama tawala waweza kukivuruga zaidi chama hicho na kusababisha zoezi la kukabidhiana chama mwezi huu June likaota mbawa.