๐—–๐—›๐—”๐—ง๐—š๐—ฃ๐—ง ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ธ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754


Hatimaye ChatGPT inaleta feature ambayo inaweza kubadilisha kabisa namna tunavyotengeneza stickers za WhatsApp!๐Ÿคฏ๐Ÿ”ฅ

Ebu Fikiria ukiwa ndani ya ChatGPT tu ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ–ผ๏ธ Kuchagua picha au kueleza sticker unayotaka.
โœ‚๏ธ AI ikaondoa background na kuandaa picha kama sticker.
๐Ÿ˜‚ Kutengeneza sticker mpya kabisa kwa maelekezo yako.
โœ๏ธ Kuongeza maandishi, emoji au style fulani.
๐Ÿ’ฌ Kisha sticker iwe rahisi kuitumia kwenye WhatsApp.

Hakuna tena kuhangaika na apps nyingi za kutengeneza stickers! ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ”ฅ, bado haijaachiwa kwa watumiaji wote hivyo endelea kufuatilia page yetu bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง || Teknolojia ni Yetu sote ๐Ÿƒ tutakujuza Zaidi.

Je, ungependa ChatGPT iwe na uwezo huu? ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Tuambie maoni yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ