kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Huyu Mery Chatanda ana matatizo gani au ndo cheap popularity!?Yaani inauzunisha kama taratibu na sheria hazifuatwi na hivyo kusababisha matatizo kwenye chaguzi hasa hizi za madiwani.Mambo haya ya uchaguzi yalitakiwa kukamilika mara moja ili viongozi waende wakatumie wananchi!Inasikitisha sana!
Huyu Mery Chatanda ana matatizo gani au ndo cheap popularity!?Yaani inauzunisha kama taratibu na sheria hazifuatwi na hivyo kusababisha matatizo kwenye chaguzi hasa hizi za madiwani.Mambo haya ya uchaguzi yalitakiwa kukamilika mara moja ili viongozi waende wakatumie wananchi!Inasikitisha sana!
Huyu mama anaudhi kwakweli yuko kama wale wadudu wa mahindi weusi wanaitwa "Tribolium Confuser" ukimbinya unafikiri amekufa anakaa muda anaibuka upya aah! Naona amepewa hiyo kazi maalumu "kuvuruga taratibu za vikao"
mwenda wazimu huyu. Si anatoka kule kwa mzee makwambe. Tanga shehh. Unatamani umfungulie maji ya baridi ili akaamke usingizini. Si umesikia tena na wale ssm walikwambia ni mjumbe halali wa arusha. Hapa ni utoto na mzee pinda kazi ishamshinda piii. Hii ndo wizara yake. Akina mwanri machachari na falsafa za kiuchumi wapi hawasikii kisa mzee wa chama kasema. Upuuzi tu
Huyu mama anatiwa kiburi na Makamba, CCM inabidi wawe makini sana na watu wenye tabia kama ya Makamba. Makamba anazeeka vibaya na amekosa hata chembe ndogo ya busara, viongozi wa CCM wasipokuwa makini kuna hatari ya taifa letu kutumbukia kwenye janga kubwa kwa sababu ya watu wachache wasiokuwa na busara. Kwa nini huyu mama ateuliwe kupitia mkoa wa Tanga halafu akasababishe tafrani huko Arusha na viongozi wakae kimya?
WABUNGE na madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana walisusa kushiriki uchaguzi wa Jumuiya za Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika Mkoa wa Arusha wakipinga uwepo wa Mbunge wa Viti maalumu kupitia Jumuiya ya Wanawake (UWT) wa Mkoa wa Tanga, Mery Chatanda katika mkutano huo.
Walidai Chatanda si mbunge wa Mkoa wa Arusha hivyo hastahili kuwepo pale.
Baada ya malumbano ya muda murefu, wabunge wa Chadema, Natse wa Karatu na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema na madiwani wote wa Chadema waliondoka ndani ya ukumbi wakisema hawako tayari kushiriki uchaguzi huo.