chata la leo...this is real Tanzania for now

nchi ishauzwa kila mtu ani pm acc number yake nimtumie buku ngapi ngapi zake..
 
Hahahhahaha .

Kweli sold maana sasa hata mbuga na hifadhi za za wanyama na maliasili hazlilipi inabidi zifutwe zipishe machimbo. Hope hao wanyama watapata makazi uarabuni, Ulaya na china.

Keshehe iko kwetu sisi wnananchi. Sisi ni kama bad asset.
Wawekezaji wanatamni watanzania wote tungekuwa tembo au swala au simba. thamani yetu ingekuwa kubwa kidogo
 
ni kweli mkuu si unakumbuka dege la kijeshi lilikuja kuchukua mali zao (wanyama wao ) pale KIA.. na simu zilipigwa moja kwa moja toka ikulu.. unafikiri ikulu anaishi SAINT IVUGA? nope ikulu ndio anapoishi mtu aliyepigiwa kura na wananchi wote na tulimbariki atuuze
 
Duuh the chatter z 4 real! hivi wats gonna happen 2 the coming generation if so far nchi haieleweki!
 
267423_141235409289104_100002079370461_273560_6956812_n.jpg
Ungeongeza na wamiliki. Mi nadhani ingekuwa hivi.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
huu ni ukweli kabisa, umenifanya nicheke sana maana bado tu kwa sisi kuhamishwa ili wenye nchi waichukue.
 
Solid to who? Bush? Hillary Clinton au nani? waziri mkuu wa India? mana hawa ni recent leaders ambao walifika hapa Tz karibuni labda wamenegosieti bei kabisaa..
 
Back
Top Bottom