Wanachma na wadau wa CHADEMA SUA main campus , jana wamefanikiwa kuwachagua makamanda wao wa CHASO , Viongozi mbalimbal kutoka wilayani na mkoani walihudhuria , uchaguzi huo ulisimamiwa na mwenyekiti wa CHASO mkoa wa Morogoro kamanda KAGOSE wa chuo kikuu JORDAN.