falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,223
- 9,346
kichwa cha habari kinajieleza,natafuta gari moja wapo kati ya hizo zilizotajwa hapo juu,kama unayo weka picha na bei hapa, mi mwenyewe mtoto wa mjini kwa hiyo please TUSIPOTEZEANE MUDA na magari mabovu nayajua,muda ni mali.bajeti yangu haizidi m7.5