Charm decor this is for you

Charm decor this is for you

Iyeee naidhaa

Mwaii ni weetuu ni weetuu eee
Akuundaa akuundaa eeh

Mwaii amkundie vyedi ndugu yetu mshana jr

Harikaa wathuu hoyeeeee

Washinjiadhee.... ja mithii! !?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Harikaa natonga kwa ngathuu yenu......
Heheheheheheee Kasie mie ni shiiiddeeer ningekuwa mpare sijui ingekuwaje.

Demiss wapare ni watani zangu usione nabonga kifaransa hehehehhee wenyewe wanasemaga ukijua kipare umejua kizungu. Kisaa ile salamu yao...... "watidhee" kwa kiingereza ni "what is that..." hahahahaha hapo mpare utabishana nae hadi asubuhi na mambo zao za kesi ya kukudai shilingi 500 anaenda kuhonga kuku wa shilingi elf 20 ili ashinde kesi akifunge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom