Charm decor this is for you

Charm decor this is for you

Nataman tu uwe mm hata siku mojaa uone pendo la Jr linavyonichanganya akili yan mpaka wakat napika nahadithia jiko ninalotumia upendo ninaopatiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asanteee sana kwenye ulimwengu wa mahusiano sijawahi kuona mwanaume kama Jr yan sijawahi.
.
love-quotes-for-her-love-poems-for-her-from-the-heart.jpg
 
Back
Top Bottom