mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,182
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kwamba aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya Charles Njonjo kuanzia mwaka 1963-79 na baadae Waziri wa Katiba (1980-83) alikuwa na imani haba sana kwa waafrika kiasi kwamba hakuwa tayari kupanda ndege ambayo rubani wake in mwafrika? Hizi tetesi ni kweli au ni porojo za mtaani?