Charles Mulinda mikononi mwa polisi

Charles Mulinda mikononi mwa polisi

Mpasua Jipu

Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
12
Reaction score
3
Sakata la aliyekuwa mhariri mtenda wa gazeti la DIRA limetinga mikononi mwa Kenyela.

Inasemekana hatua hiyo imekuja baada ya Alex Msama kufuatilia fedha zake kiasi cha shilingi milioni 30 bila mafanikio, fedha hizo alipewa Mulinda kwa makubaliano ya kufanya kazi katika kampuni yake kwa zaidi ya mwaka mmoja, lakini Mulinda alidumu kwa miezi mitatu tu.
 
Gazeti lenyewe limefulia tayari baada ya mamvi kumpiga FastJet bao la kisigino!
 
Huyo jamaa ni crook. Sijui inakuwaje watu wanamwamini hivyo? Hana historia nzuri huyo.
 
Umenikumbusha Mulinda aliwahi kuitwa na John Komba (Kapteni Mstaafu) enzi hizo Sheraton Hotel kwa ajili ya kumpa rushwa huku akiwa ametegewa TAKUKURU. Mulinda akakamata Milioni tano ya rushwa toka kwa Komba ili asiandike ufisadi wa TOT PLUS. Baada ya kukamata Milioni 5 akaomba aende toilet. Kiwa njiani kwenda toilet kumbe alishapanga na jamaa mmoja ili amkabidhi kitita hicho na akamkabidhi kitita mtu akaondoka zake hotelini.

Akarudi kwa Komba na kuendelea na mazungumzo, ghafla maafisa wa TAKUKURU wakawazunguka na kumtaka Mulinda asalimishe kitita alichopewa kama rushwa. Kilichotokea Komba hakuamini macho yake na bahati mbaya sana haikuwa pesa ya 'Unga' na ilikuwa imetoka moja kwa moja mfukoni mwa Komba. Mzee alilia machozi huku Mulinda akimtazama usoni na kumhoji why anataka kumdhalilisha wakati hajapokea hata senti yake.

Mulinda ni zaidi ya Mafia kwenye mambo yahusuyo Pesa. Don't ever trust him!
 
Charles Mulindi Nimoja kati ya waandishi wasio haminika hata,kidogo,unapenda sana bahasha,hata kule alipo sasa ukimpa bahasha tu anageuka hata mabosi wake,namfahamu sana huyu jamaa,pia ana njaa kali sana na hicho ndio kitu knachowakosti waandishi wengi wa Tanzania,Uhaminifu ni ziro kabisa.
 
umejuaje mkuu au ndio ulikuwa kwa toilet kusubiri mshiko?
hongereni kwakucheza dili zuri.
Umenikumbusha Mulinda aliwahi kuitwa na John Komba (Kapteni Mstaafu) enzi hizo Sheraton Hotel kwa ajili ya kumpa rushwa huku akiwa ametegewa TAKUKURU. Mulinda akakamata Milioni tano ya rushwa toka kwa Komba ili asiandike ufisadi wa TOT PLUS. Baada ya kukamata Milioni 5 akaomba aende toilet. Kiwa njiani kwenda toilet kumbe alishapanga na jamaa mmoja ili amkabidhi kitita hicho na akamkabidhi kitita mtu akaondoka zake hotelini.

Akarudi kwa Komba na kuendelea na mazungumzo, ghafla maafisa wa TAKUKURU wakawazunguka na kumtaka Mulinda asalimishe kitita alichopewa kama rushwa. Kilichotokea Komba hakuamini macho yake na bahati mbaya sana haikuwa pesa ya 'Unga' na ilikuwa imetoka moja kwa moja mfukoni mwa Komba. Mzee alilia machozi huku Mulinda akimtazama usoni na kumhoji why anataka kumdhalilisha wakati hajapokea hata senti yake.

Mulinda ni zaidi ya Mafia kwenye mambo yahusuyo Pesa. Don't ever trust him!
 
Mulinda Kiboko! mbele ya hela hana masihara! siku nimepewa mchapo wa jinsi Komba alivyoingia king nilicheka balaa!!!
 
Na huko kwa Kenyela,lazima apate shida,si mnakumbuka ile makala yake aliyomtukana kenyela?
 
huyu pale sansiro fm akademia wanamuita papa mulinda mtu ya watu. mia
 
Kaka hizo mia unazomaliza nazo zina maana gani,na hv tulivyotiwa upuuzi wa watuhuru,uko unatutisha mana mtaa wa pili wanadai ati ni lugha ya freemanson.elfu
huyu pale sansiro fm akademia wanamuita papa mulinda mtu ya watu. mia
 
Back
Top Bottom