Charity begins at Home Hongera Nsekela

Charity begins at Home Hongera Nsekela

CRDB wezi tu wale hawana jipya. Usipokagua statements zako vizuri inakula kwako. Wanaanza kuchomoa laki moja hapa, laki moja pale wakiona hufuatilii wanaanza kuchomoa zaidi.

Ukishtuka ukaenda kuwalalamikia uchunguzi utachukua miezi wakati rekodi zinaonyesha ni wao waliochukua hizo pesa kwa services ambazo wala hazieleweki.

Benki ya hovyo sana! 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom