Ahsante mkuu mie natumia mtu mkoani kutoa crdb simbaking kuenda acc ya Nmb yake.Ni gharama kidogo approximately 8000 hadi 10000 kwa muamala.Rahisi ni CRDB kwenda CRDB Kama 1200.
Nashauri itoe kwa teller then kaiweke kwa wakala wa NMB
Itoe kisha nenda NMB ukamuwekee kwenye account yakeAhsante mkuu mie natumia mtu mkoani kutoa crdb simbaking kuenda acc ya Nmb yake.