sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
msaada wenu please...ikiwezekana na kupata range ya bei yake...
Shukrani...
Shukrani...
msaada wenu please...ikiwezekana na kupata range ya bei yake...
Shukrani...
zinapatikana I-store Mlimani city au I-digital Quality centre.
kwenye tsh 130,000 ($79) hivi mkuu.Asante mkuu kwa ushauri wako. Unadhani bei inaweza kucheza wenye Tshs. ngapi? Hii ni kwa sie tulio mikoani na tungependa kuagizia watu pesa watununulie!