STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,376
- 6,955
Mambo vp wapenzi wa burudani...
Kuna hii ngoma ya huyu mtu TASH, ana ngoma fulani inaitwa NAZINGUA sijui CHAPIA (kama sikosei).. Ni ya kitambo kidogo, anaimba kwa kurap-rap hivi.. So naikubali sana Mwenye nayo hii ngoma naomba aniwekee hapa
Nitashukuru sana Wakuu