Chapati ya kuchambuka inavyo pikwa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,913
Reaction score
67,435
Andaa ngano mafuta na chumvi changanya kisha kanda kwa mda mrefu kiasi kwamba ngano ina legea yenyewe kisha tengeneza madonge yako kulingana na idadi yako unayo taka kisha anza kusukuma then ikunje kama unavyo kunja mkeka itokee umbo hili

Baaada ya hapo utaisukuma tena itokee duara linalo eleweka kisha utaanza kuikaanga baada una kuwa una weka mafuta pole pole na uhakikishe chapati yako inakunjika hivi baada ya kuiva vizuri

Hivyo tu ina pendeza jumamos kama hii una amka mapema una andalia familia yako kama wewe ni mwanamke mwaandalie mumeo ili awe ata ana kukumbuka siku za kazi ila sio mwanaume ana sema bora chapati za kazini mzuri no pika vizuri kama hivi
 
Mkuu una mkono laini !
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…