freelancer2302
Member
- May 29, 2014
- 83
- 23
Napika chapati na vitumbua kwa order. Kuanzia idadi ya kumi na kuendelea. Nitafute 0755840431.
Napika chapati na vitumbua kwa order. Kuanzia idadi ya kumi na kuendelea. Nitafute 0755840431.View attachment 654242 View attachment 654243
mmmhNapika chapati na vitumbua kwa order. Kuanzia idadi ya kumi na kuendelea. Nitafute 0755840431.View attachment 654242 View attachment 654243
dar es SalaamUnapatikana wapi mpenzi??
Hahaha! jipange kuvichukua airport saa 12 asubhiNahitaji chapati 20 kila siku, mimi niko Mtwara!
Du! Gharama ya usafirishaji ni ya mnunuzi ama muuzaji?Hahaha! jipange kuvichukua airport saa 12 asubhi